Maalik Bin Diynaar: Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa
Watu Wataondoka Duniani Bila Ya Kuonja Utamu Wake Mzuri Kabisa
Maalik Bin Diynaar (Rahimahu-Allaah)
Salam Al-Khawwaas amehadithia: Maalik bin Diynaar amesema:
“Watu Wataondoka duniani bila ya kuonja utamu wake mzuri kabisa.” Akaulizwa: “Je, ni upi huo utamu?” Akajibu: “Ma’rifah ya Allaah (Elimu ya Majina na Swifaat Zake pamoja na yanayowaathiri na kuwahusu viumbe Vyake).“
[Siyar A'alaam An-Nubalaa - Adh-Dhahabiy (5/363)]
