Saladi Ya Majani Ya Thomu (Garlic leaves) Na Lettuce
Saladi Ya Majani Ya Thomu (Garlic leaves) Na Lettuce
Vipimo
Majani ya kitunguu thomu (garlic/saumu) misongo 2 (bunches)
Majani ya saladi ya lettuce kiasi
Nyanya
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika
- Osha vizuri majani yote.
- Katakakata majani ya thomu na lettuce kisha changanya pamoja.
- Pamba katika sahani kwa nyanya na pakua kiasi utakacho.
Bis-swihhah wal-hanaa (kula kwa siha na kufurahika)