Kuelekea Wapi Kuswali Ikiwa Hujui Qiblah Kiko Wapi?
SWALI:
Ukiwa umehamia mahali ugenini na hujui kibla unaelekea wapi? NI jinsi gani unaweza kujua kibla kilipo kwa kuangalia jua linapochomoza au linapozama???
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Ni muhimu kwa Muislamu anaposafiri sehemu ya ugenini angalau ajue jiografia fupi ya sehemu
Ikiwa huna mswala
Na Allaah Anajua zaidi