Vipimo:
Kitunguu maji kikubwa 1
Tungule/nyanya 2
Tui zito la nazi 2 vikombe
Bizari ya manjano kijiko cha chai ¼ kijiko cha chai
Pilipili mbuzi 3
Chumvi kiasi
Vipimo Vya Samaki Na Namna Ya Kumtayarisha Na Kumpika
Pilipii mbichi ilosagwa 2 vijiko vya supu
Kitunguu saumu(thomu/galic) ilosagwa 1 kijiko cha chai
Tangawizi ilosagwa 1 kijiko cha chai
Mdalasini wa unga ¼ kijiko cha chai
Bizari ya pilau ya unga ½ kijiko cha chai
Ndimu (kamua) 2
Chumvi kiasi
Namna Ya Kutayarisha Na Kupika Mchuzi