Imaam Ibn 'Uthaymiyn: Haijuzu Kusema Ilaahi Anta Jaahiy “Mwabudiwa Wangu Wewe Ni Jaha Yangu”
Haijuzu Kusema Ilaahi Anta Jaahiy “Mwabudiwa Wangu Wewe Ni Jaha Yangu”
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu Allaah)
SWALI:
Nini hukmu ya kusema:
إلاهي أنت جاهي؟
“Ilaahi Anta Jaahiy” (Ee Mwabudiwa Wangu, Wewe Ni Jaha Yangu)
JIBU:
Haifai kutumia kauli hiyo, kwa sababu maana ya neno hilo ni: “Wewe ni muombezi Wangu, sasa muombezi wako kwa nani?”
[Fataawaa Muhammad bin Swaalih Al-‘Uthaymiyn: Al-Kanz Ath-Thamiyn (Uk 12)]
