Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn: Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)
Shirki Ni Jinai Juu Ya Haki Ya Allaah (عز وجل)
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah)
Alhidaaya.com
Imaam Ibn ‘Uthaymiyn (Rahimahu-Allaah) amesema:
“Allaah Haghufurii ushirikina kamwe (asipotubia mtu kabla ya mauti) kwani ni jinai juu ya haki ya Allaah, nayo ni Tawhiyd."
[Al-Qawl Al-Mufiyd Uk. 75]