Ukurasa Wa Kwanza /Imaam Ibn Al-Jawziyy: Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Ni Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru
Imaam Ibn Al-Jawziyy: Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Ni Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru
Kucheza Dansi Na Aina Zake Kuitakidi Kujikurubisha Kwa Allaah Ni Kufru
Imaam Ibn Al-Jawziyy (Rahimahu Allaah)
www.alhidaaya.com
‘Ulamaa wote wamekubaliana na kuhukumu kwamba kucheza dansi (kudhikiri na kuchezesha vichwa n.k.) kwa ajili ya kujikurubisha kwa Allaah (Ta’aalaa) ni kufru.
[Swayd Al-Khaatwir (154)]