Shaykh Fawzaan: Kuapa Kwa Kuweka Mkono Kwenye Qur-aan Ni Jambo Halina Dalili
Kuapa Kwa Kuweka Mkono Kwenye Qur-aan Ni Jambo Halina Dalili
Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah)
Amesema Shaykh Fawzaan (Hafidhwahu Allaah):
“Kuweka mkono kwenye Mswahafu na kuapia (ni jambo) lisilo na asli (katika Dini; halina dalili), bali hicho ni kitendo cha watu wasio na elimu."
[Sharhu Ighaathati Al-Lahfaan]