Tahadhari Na Kuapia Visivyopaswa Kuapia! Mfano Kusema: “Kwa Haki Ya Allaah Na Rasuli Wake

 

Tahadhari Na Kuapia Visivyopaswa Kuapia!

 

Mfano Kusema: “Kwa haki ya Allaah na Rasuli Wake.”

 

 

Alhidaaya.com

 

 

Mfano Kusema: “Kwa haki ya Allaah na Rasuli Wake.”

 

Au:

 

“Kwa haki ya Muhammad.”

 

Imeharamishwa kuapia kwa chochote kile au kuapia kwa kumtaja kiumbe chochote, hata kama ni Manabii wa Allaah, isipokuwa kuapia kwa kumtaja Allaah Pekee.  

 

 

Na pia haijuzu kabisa kuapia kwa: Mswahafu, Ka’bah, kuapia kwa kutaja wazazi na vinginevyo.

 

Bonyeza viungo vifuatavyo kupata faida ziyada:

 

 

15-Hakika Shirki Ni Dhulma Kubwa Mno! - Kuapa Kwa Asiyekuwa Allaah

 

124-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayeapa Kwa Asiyekuwa Allaah Amekufuru

 

 

 

 

 

 

 

Share