Kumpigia Kura Asiye Muislamu Au Muislamu Mlevi
SWALI:
Assalam alaikum, napenda kuuliza swali lenye kunikereketa moyoni mimi naishi
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Sifa zote njema Anastahiki Allah Mtukufu, Swalah na salamu zimfikie kipenzi chetu, Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam), Ahli zake na Maswahaba wake (Radhiya Allaahu 'anhum) na Watangu Wema na waliowafuata kwa kheri mpaka Siku ya Qiyaamah.
Kwa hakika mas-ala ya kura inatakiwa tuwe makini
Hivyo, ikiwa amesimama Muislamu na asiyekuwa Muislamu si vyema kwako kumpigia yule asiyekuwa Muislamu hasa unapoangalia Visiwa vya
Ikiwa waliosimama ni Waislamu wawili basi angalia yule ambaye ataleta maslahi ya dini na watu. Mfano ikiwa waliosimama mmoja ni mlevi na mwingine ni Muislamu mzuri ni lazima umchague yule ambaye ni nafuu au mzuri zaidi kuliko mwingine.
Na Allah Anajua zaidi.