Mwandamo Wa Mwezi – Waislamu Wote Duniani Wafunge Siku Moja Na Kula ‘Iyd Siku Moja ?
SWALI
nilimskia sheikh mmoja katika kipindi cha televisheni moja Tanzania anasema kwamba haiwezekani watu wote duniani kupata sikukuu siku moja kwa sababu kuna nchi zimepishana kwa takribani masaa 24,na kutoa mfano kwamba,Honolulu Marekani jumamosi saa 3 asubuhi, New Zealand ni saa 2 asubuhi Ijumaa. je hii ni kweli na kweli inawezekana ikawa ni sababu ya kutowezekana kufunga na kufungua siku moja dunia nzima??
JIBU:
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa swali lako. Ni kweli kuwa zipo sehemu ambazo zimetofautiana kwa masaa takriban 23
Ni hakika isiyopingika kabisa kuwa kuanzia wakati ambao mawasiliano yamekuwa ni sahali kupatikana kote duniani mwezi umekuwa ukionekana Mashariki ya kati. Na kwa sasa kama katika nchi ya
Ni ajabu kuwa mashekhe hao wamejikita kuzungumza kuhusu mwezi wa kimataifa pekee wala huwasikii kuzungumza matatizo ya rai
- Kuzingatia mipaka ya kila nchi.
- Kuzingatia umbali wa farsakh 24.
- Kuzingatia masafa ya qasri.
- Kuzingatia tofauti za matlai.
- Kuzingatia usawa wa bahari (sea level).
- Kuzingatia maeneo ya mashariki na magharibi.
- Kuzingatia kusadifu.
Kila moja katika hizo ni rai ya wanazuoni kuhusu kufuatwa kwa mwezi lakini rai
Swali la kujiuliza kila Muislamu kwa kirahisi kabisa: “Je, katika ulimwengu wetu huu tuna miezi (wingi wa mwezi - moon) mingapi?”
Na Allaah Anajua zaidi
- Login or register to post comments
- Email this page
- Chapisha


