Ukurasa Wa Kwanza /00-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Utangulizi Wa Maudhui Mbalimbali - كِتابُ الْمُقَدِّمات
00-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Kitabu Cha Utangulizi Wa Maudhui Mbalimbali - كِتابُ الْمُقَدِّمات
(Mabustani Ya Swalihina)
كِتابُ الْمُقَدِّمات
Kitabu Cha Utangulizi Wa Maudhui Mbalimbali
- 001-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ikhlaasw Na Kutia Niyyah Katika ‘Amali, Maneno, Hali Zilizodhihirika Na Zilizofichika
- 002-Riyaadhw Asw-Swalihiyn: Mlango Wa Tawbah
- 003-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Subira
- 004-Riyaadhw Asw Swaalihiyn: Mlango Wa Ukweli
- 005-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuchunga (Kumukhofu Allaah Kwa Siri Na Dhahiri)
- 006-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Taqwa – Kumkhofu Allaah
- 007-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Yakini Na Kutawakali Kwa Allaah
- 008-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Istiqaamah Kuthibitika Imara
- 009-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kutafakari Viumbe ‘Adhiym Vya Allaah Dunia Kutoweka ...
- 010-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukimbilia Mambo ya Khayr...
- 011-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kufanya Juhudi
- 012-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mahimizo Ya Kuzidisha Kutenda Khayr Mwisho Wa Umri
- 013-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ubainifu Wa Njia Nyingi Za Khayr
- 014-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Iktisadi Katika Twaa-ah (‘Ibaadah)
- 015-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuhifadhi ‘Amali
- 016-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Maamrisho Wa Kuzihifadhi Sunnah Na Adabu Zake
- 017-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Wajibu Wa Kuifuata Hukumu Ya Allaah
- 018-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukataza Bid’ah Na Uzushi
- 019-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Mwenye Kuzua Sunnah Nzuri Na Mbaya
- 020-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuhimiza Mema Na Kuwaita Watu Katika Uongofu Au Upotevu
- 021-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusaidiana Katika Wema Na Taqwa
- 022-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Nasaha
- 023-Riyaadhw As-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuamrisha Mema Na Kukataza Maovu
- 024-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Adhabu Kali Kwa Mwenye Kuamrisha Mema Au Kukataza Maovu Kisha Kauli Yake Ikawa Kinyume Na Matendo Yake
- 025-Riyaadhw As-Swaalihiyn: Mlango Wa Amri Ya kurudisha Amana
- 026-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu Wa Dhulma Na Amri Ya Karudisha Vilivyodhulumiwa
- 027-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Kuadhimisha Mambo Matukufu Ya Waislamu, Kubainisha Haki, Kuwasikitia Na Kuwahurumia
- 028-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusitiri Aibu Za Waislamu Na Katazo La Kuzieneza Pasi Na Dharura
- 029-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwakidhia Waislamu Haja Zao
- 030-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uombezi (shifaa)
- 031-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusuluhisha Baini Ya Watu
- 032-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila Za Waislamu Wanyonge, Mafakiri Wasiojulikana
- 033-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwafanyia Upole Mayatima, Mabinti, Wanyonge wote, Maskini, Waliofilisika Pamoja na Kuwafanyia Hisani, Kuwahurumia, Kuwanyenyekea na kuwainamishia Bawa
- 034-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Wasia Kwa Wanawake
- 035-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Haki Ya Mume Juu Ya Mke
- 036-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa kuilisha Familia
- 037-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kutoa Ukipendacho Katika Vizuri
- 038-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Wajibu Wa Kuamrisha Mkewe, Wanawe Waliobaleghe na Wote Waliochini Yake Kumtii Allaah Aliyetukuka, na Kuwakataza Kukhalifu, na Kufanya Waliyokatazwa
- 039-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Haki Ya Jirani na Kumtendea Wema
- 040-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwafanyia Wema Wazazi na Kuunga Kizazi (Ujamaa)
- 041-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Uharamu wa Kuwaasi Wazazi na Kukata Kizazi
- 042-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwafanyia Wema Marafiki wa Baba na Mama, Jamaa, Mkw na Wote Wanaopendekezwa Kuwafanyia Ukarimu
- 043-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwakirimu Watu wa Nyumba ya Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Kubainisha Fadhila Zao
- 044-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwaheshimu Wanazuoni, Wakubwa na Watu Watukufu na Kuwatanguliza Juu ya Wengine, Kutukuza Vikao Vyao na Kudhihirisha Utukufu Wao
- 045-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwazuru Watu wa Kheri, Kukaa Nao, Kuhusubiana Nao na Kuwapenda
- 046-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kupenda kwa Ajili ya Allaah na Kuhimiza hilo
- 047-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Alama za Upendo wa Allaah kwa Waja Wake na Kuhimizwa Kujipamba Nayo na Kuitafuta
- 048-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Onyo kwa Wenye Kuwaudhi Watu Wema, Wanyonge na Masikini
- 049-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwahukumu Watu kwa Dhahiri ya Mambo na Kumwachia Allaah Siri Zao
- 050-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Hofu (Ya Allaah)
- 051-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwa na Matumaini
- 052-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ubora wa Matarajio Mema
- 053-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kujumuisha Baina ya Hofu na Matarajio
- 054-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila ya Kulia Kutokana na Kumuogopa Allaah na Shauku Kwake
- 055-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila na Ubora wa Kuupa Nyongo Ulimwengu wa Kukinai Kwa Kichache na Ubora wa Ufakiri
- 056-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kuwa na Njaa na Maisha ya Kujinyima, na Kukusuru Kichache Katika Chakula na Vinywaji na Mavazi na Kujitenga na Maisha ya Fakhari na Kuacha Matamanio
- 057-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukinai, Utohara na Kukusuru Katika Maisha na Kutoa na Uovu Wa Kuomba Bila Ya Dharura
- 058-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ruhusu ya Kuchukua Kitu Bila Kuomba
- 059-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuhimizwa Kula Kwa Kazi ya Mkono Wake na Kujizuilia Kuomba na Kupenda Kutoa
- 060-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Ukarimu na Kutoa Katika Njia za Kheri na Kuwa na Imani Kwa Allaah Ta'aalaa
- 061-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Ubakhili na Uchoyo
- 062-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendelea Wengine na Kusaidiana
- 063-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kushindana Katika Mambo Yanayohusu Aakhera na Kutaka Vitu vya Baraka
- 064-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango wa Ubora wa Tajiri Mwenye Kushukuru na Kuchuma Mali na Halali na Kuitumia kwa Njia Iliyoamriwa
- 065-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango wa Kukumbuka Mauti na Kupunguza Matarajio
- 066-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendeza Kuzuru Makaburi kwa Wanaume na Anachosema Mwenye Kuzuru
- 067-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Karaha ya Kutamani Umauti Kwa Sababu ya Dhara Iliyomkumba na Haina Tatizo Ikiwa Anahofia Fitna Katika Dini
- 068-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kujichunga na Kuacha Mambo Yenye Shaka
- 069-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kupendekeza Kujitenga Wakati wa Uharibifu na Ufisadi au Hofu ya Fitnah Katika Dini au Kujiingiza Katika Haramu na Shaka
- 070-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Fadhila za Kutangamana na Watu, Kuhudhuria Mikusanyiko yao, Kushuhudia Kheri, Kushiriki Katika Vikao Vya Dhikri Pamoja nao, Kutembelea Wagonjwa, Kuhudhuria Jeneza Zao, Kukidhi Haja za Masikini Miongoni Mwao,
- 071-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Unyenyekevu na Kuinamisha Bawa Waumini
- 072-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuharamishwa Kibri na Kujiona
- 073-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Tabia Njema
- 074-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Upole, Umakini na Utaratibu
- 075-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kusamehe na Kupuuza Wajinga
- 076-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuvumilia Maudhi
- 077-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuwa na Hasira Wakati Inapokiukwa Hukumu ya Sheria na Kuinusuru Dini ya Allaah Ta'aalaa
- 078-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Jukumu la Viongozi Kuamiliana na Watu kwa Upole, Kuwanasihi, Kuwahurumia, Kukatazwa Kuwadanganya, Kuwawekea Vikwazo Bila Kuangalia Maslahi yao, Kughafilika Nao na Kutowatimizia Haja zao
- 079-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kiongozi Muadilifu
- 080-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Wajibu wa Kuwatii Viongozi kwa Mambo Yasiyo ya Maasiya na Kukatazwa Kuwatii Katika Maasiya
- 081-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukatazwa Kuomba Uongozi na Kuchagua
- 082-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kuhimizwa Viongozi, Maqdhi na Wengineo Kuchagua Washauri na Mawaziri Wazuri na Wema na Kuonywa Kuwa na Marafiki Wabaya na Kuwakubali
- 083-Riyaadhw Asw-Swaalihiyn: Mlango Wa Kukataza Kumpatia Uongozi na Ukadhi na Nyadhifa Nyinginezo za Uongozi kwa Mwenye Kuomba Ama Kupupia