Ukurasa Wa Kwanza /Lu-ulu-un-Manthuwrun - لُؤْلُؤ مَّنثُور
Lu-ulu-un-Manthuwrun - لُؤْلُؤ مَّنثُور
Mkusanyiko Wa Hadiyth Mbali Mbali Na Mafunzo Yake
Imekusanywa Na Kuandaliwa Na: Ummu Iyyaad
Imepitiwa Na 'Abdullaah Mu'aawiyah (Abu Baasim)
Alhidaaya.com
- 000-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Utangulizi
- 001-Lu-ulu-un-Manthuwrun :Allaah Hatazami Miili Wala Sura, Bali Anatazama Nyoyoni
- 002-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Hupokea Tawbah Za Waja Usiku Na Mchana
- 003-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Akimtakia Khayr Mja Humpa Mtihani Duniani
- 004-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Ukweli Unapelekea Jannah, Uongo Unapelekea Motoni
- 005-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuvunjia Kiapo Kitendo Kiovu Kwa Kilicho Chema
- 006-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutawakali Kwa Allaah Na Kuwa Na Moyo Laini
- 007-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kumwamini Allaah Na Kuwa Na Istiqaamah
- 008-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kukimbilia Kutoa Swadaqah Kabla Ya Mauti
- 009-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Neema Mbili Watu Wengi Wameghilibika Nazo; Siha Na Faragha
- 010-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mja Atafufuliwa Kwa Kitendo Alichofariki Nacho
- 011-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Daraja Za Iymaan Ni Sabini Na; Ya Juu Ni Tawhiyd Ya Chini Kuondosha Taka..
- 012-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kufanya ‘Ibaadah Kwa Wastani Ili Kuweza Kuidumisha
- 013-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Atakayepitiwa Na Usingizi Bila Kusoma Nyiradi Zake Alipize Kabla Adhuhuri
- 014-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuzishikilia Sunnah Kwa Magego Ili Kubakia Imara Na Kujiepusha Ikhtilaaf
- 015-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kitendo Cha Bid’ah Hakikubaliwi Katika Dini Yetu
- 016-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Athari ya Kuelekeza Kwenye Hidaayah Na Upotofu
- 017-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuondosha Munkari Kwa Mkono Au Ulimi Au Kuchukia Moyoni
- 018-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Alama Za Mnafiki Ni Tatu: Uongo, Kutokutimiza Ahadi, Kufanya Khiyana
- 019-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Dhulma Irudishwe Duniani Kabla Ya Malipo Ya Aakhirah
- 020-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Waumini Ni Kama Jengo Hutiliana Nguvu
- 021-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kumpendelea Kheri Ndugu Yako Muislamu Kama Unavyojipendelea Nafsi Yako
- 022-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuhifadhi Undugu Wa Kiislamu, Haki, Heshima, Kutokufanyiana Uadui, Chuki Na Kudharauliana
- 023-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Atakayemtimizia Haja Nduguye Na Kumsitiri Atapata Faraja Na Sitara Siku Ya Qiyaama
- 024-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Uongo Unaruhusiwa Katika Kupatanisha Waliogombana Na Vitani
- 025-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wanyonge Na Masikini Watakuwa Jannah, Ama Wababe Wajeuri Na Wenye Kiburi Watakuwa Motoni
- 026-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kulea Watoto Wa Kike Ni Kuwa Pamoja na Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم) Peponi
- 027-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kila Mtu Ana Jukumu La Kuchunga Atakaloulizwa
- 028-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuvumiliana Tabia Mbaya Katika Maisha Ya Ndoa Kwa Kukumbuka Tabia Zilizo Nzuri
- 029-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Aliyekamilika Iymaan Kwa Tabia Na Kumfanyia Wema Mke
- 030-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mwanamke Asifunge Swawm Au Kumuingiza Mtu Kwenye Nyumba Bila Ya Idhini Ya Mumewe
- 031-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Du’aa Ya Malaika Kila Siku Kwa Mtoaji Sadaka Na Mzuiaji
- 032-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutoa Sadaka Na Kukinai Badala Ya Kuombaomba
- 033-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutaja Jina La Allaah Katika Chakula Na Kula Kilichoko Mbele Yako
- 034-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuswali Wakati Wake, Kuwafanyia Wema Wazazi, na Kufanya Jihaad
- 035-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Starehe Bora Kabisa Ya Dunia Ni Mke Mwema
- 036-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Hana Iymaan Na Hatoingia Jannah Mwenye Kumtendea Jirani Shar
- 037-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mwenye Iymaan Kweli Amkirimu Mgeni, Na Aseme Ya Kheri Au Anyamaze
- 038-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Anamuunga Anayeunga Kizazi Na Anamkata Anayekata Kizazi
- 039-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Tofauti Ya Kuandamana Na Rafiki Mwema Na Muovu
- 040-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Sifa Nne Za Kuchagua Mke Mali, Nasaba, Uzuri Na Dini
- 041-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Alama Tatu Za Kupata Utamu Wa Iymaan
- 042-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haingii Jannah Mtu Ila Kwa Iymaan, Kupendana na Kutoleana Salaam
- 043-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wanaopendana Kwa Ajili Ya Allaah Watakuwa Chini Ya Kivuli Chake
- 044-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Akimpenda Mja Anamnadia Jibriyl Na Kumuamrisha Ampende Pamoja Na Wote
- 045-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mambo Manne Atakayoulizwa Mja Siku Ya Qiyaamah: Umri, Elimu, Mali na Mwili
- 046-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Ardhi Itashuhudia Matendo Ya Watu Siku Ya Qiyaamah
- 047-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kila Mmoja Atakuwa Analo La Kumshughulisha Siku Ya Qiyaamah
- 048-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haki Ya Allaah Ni Kumwabudu Bila Kumshirikisha Na Kitu
- 049-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Swalaah Husafisha Madhambi Kama Anavyojisafisha Mtu Anapooga
- 050-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kafiri Analipwa Duniani Aakhirah Hatopata Kitu, Na Muumin Analipwa Duniani Na Aakhirah
- 051-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Muumin Anahimiza Jeneza Lake, Kafiri Anakhofia Na Kupiga Mayoe!
- 052-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Muumin Angelijua Adhabu Za Allaah Asingelitarajia Jannah, Kafiri Angelijua Rahma Ya Allaah Asingelikata Tamaa Nayo
- 053-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayelia Kwa Kumkhofu Allaah Hatoingia Motoni
- 054-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Maiti Anafuatiliwa Na Matatu: Ahli Zake, Mali Na Amali, Zinabaki Amali
- 055-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Matendo Ya Aliyeneemeshwa Na Aliye Na Shida Duniani Ndiyo Yenye Kuzingatiwa Aakhirah
- 056-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Masikini Amtazame Aliye Chini Yake Wala Asitazame Aliye Juu Yake
- 057-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Dunia Ni Jela Kwa Muumin, Kafiri Kwake Ni Kama Jannah (Pepo)
- 058-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Ishi Duniani Kama Mgeni Au Mpita Njia
- 059-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuipa Mgongo Dunia Kutampatia Mtu Mapenzi Ya Allaah Pamoja Na Ya Watu
- 060-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Ingelikuwa Dunia Sawa Na Bawa La Mbu, Allaah Asingelimnywesha kafiri maji.
- 061-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Dunia Ni Kama Kivuli Anachokitumia Msafiri Kwa Muda Tu
- 062-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Sadaka Haipunguzi Mali, Msamaha Unazidisha Hadhi, Na Kunyenyekea Kunampandisha Mtu Daraja
- 063-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Jiepushe Na Shaka, Kwani Halaal Na Haraam Imebainishwa, Moyo Ni Mfalme Wa Viungo
- 064-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wema Ni Tabia Njema, Na Dhambi Ni Yenye Shaka Katika Nafsi Na Kuchukizwa Na Watu
- 065-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Hatoingia Jannah Mwenye Chembe Ya Kiburi; Kukataa Haki Na Kudharau Watu
- 066-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Nyumba Za Jannah Kwa Mwenye Tabia Njema, Anayeacha Mabishano Na Mjadala Hata Kama ni Mwenye haki, na Anayeacha Uongo
- 067-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Sahilisheni, Msifanye Uzito, Wabashirieni Msiwakimbize Watu Katika Dini
- 068-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuona Hayaa; Kusitahi Ni Katika Iymaan
- 069-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Aliye Na Daraja Mbaya Mno Mbele Ya Allaah Siku ya Qiyaamah Ni Yule Anayeeneza Siri Ya Mkewe
- 070-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Usiwe Mwenye Kuzoea Kufanya ‘Ibaadah Ya Sunnah, Naafilah, Kisha Ukaiacha
- 071-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Jikinge Na Moto Japo Kwa Tende Au Neno Jema
- 072-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Enezeni Salaam, Lisheni Chakula, Ungeni Undugu, Swalini Tahajjud, Mtaingia Jannah Kwa Amani
- 073-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutaja Jina Mlangoni Unapoulizwa “Nani Wewe”
- 074-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo
- 075-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mwenye Kuakhirishia Au Kusamehe Deni, Atakuwa Katika Kivuli Cha Allaah Siku Ya Qiyaamah
- 076-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Balighisheni Japo Kwa Aayah, Atakayemwongopea Nabiy Ajitayarishie Makazi Motoni
- 077-Lu-ulu-un-Manthuwrun: ‘Amali Zinakatika Isipokuwa Mambo Matatu: Swadaqah Inayoendelea, Elimu Inayonufaisha, Mwana Mwema
- 078-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Viumbe Vyote Vinawaombea Wanaofunza Watu Kheri
- 079-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Fadhila Za Swalaah Ya Jamaa'ah
- 080- Lu-ulu-un-Manthuwrun:Allaah Anamnawirisha Anayesikia Ujumbe Akabalighisha
- 081-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Adhabu Kali Kwa Anayeficha Elimu
- 082-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Fadhila Za Siku Ya Ijumaa Na Kumswalia Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم)
- 083-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo Ya Kujumuika Kaburini, Kumswalia Nabiy Kunamfikia
- 084-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mimi Ni Vile Mja Wangu Anavyonidhania. Niko Pamoja Naye Anaponitaja
- 085-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kumdhukuru Allaah Kunampandisha Cheo Mja Na Ni Miongoni Mwa ‘Amali Bora Kabisa
- 086-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Atakayedhamini Ulimi Na Utupu Atadhaminiwa Jannah
- 087-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kusengenya Ni Kumtaja Mtu Kwa Asilolipenda Na Kuzua Ni Kutaja Jambo Asilokuwa Nalo
- 088-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Miongoni Mwa Adhabu Za Kaburi: An-Namiymah, Asiyejisafisha Akimaliza Kukojoa
- 089-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Watu Waovu Kabisa Ni Wenye Nyuso Mbili Za Unafiki
- 090-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Adhabu Kwa Waongopao Ndoto, Kusikiliza Siri Za Watu, Wachoraji Picha Zenye Roho
- 091-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Aliyehifadhi Qur-aan Anatukuzwa Duniani Na Aakhirah
- 092-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo ya Kuapa Pasi Na Allaah, Kujiua, Kutekeleza Nadhiri Kwa kitu Asichokimiliki, Kumlaani Muumin
- 093-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kumtukana Muislamu Ni Ufasiki Na Kupigana Naye Ni Ukafiri
- 094-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuweka Amani Baina Ya Watu Kwa Ulimi Na Kuacha Yaliyoharamishwa
- 095-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kuepushwa Moto Na Kuingizwa Jannah Ni Kumwamini Allaah Na Kuwatendea Watu Analopenda Kutendewa
- 096-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haifai Kubughudhiana, Kuhusudiana, Kuendeana Kinyume, Kukatana Na Kukhasimiana Kwa Zaidi Ya Siku Tatu
- 097-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wanakhasimiana Hawataingia Jannah Hadi Wapatane Na Hawatapokelewa ‘amali Zao
- 098-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Dhana Mbaya Ni Mazungumzo Ya Uongo Kabisa
- 099-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kumhukumia Mtu Kuwa Hatoghufuriwa Dhambi Zake Ni Kuporomoka 'Amali Zake
- 100-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayedhihirisha Furaha Kwa Msiba Wa Mwenziwe Huenda Akaonjeshwa Yeye Msiba
- 101-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayeghushi Katika Biashara Amekanwa Na Rasuli wa Allaah (صلى الله عليه وآله وسلم)
- 102-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Atakhasimiana na Anayevunja Ahadi Kwa Kiapo, Anayemdhulumu Mwajiriwa
- 103-Lu-ulu-un-Manthuwrun Allaah Hatowazungumzisha Wala Kuwatazama Wanaoburuza Nguo Zao, Msimbulizi, Na Mwapaji Uongo Kwa Ajili Ya Kuuza Bidhaa
- 104-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kunong’ona Mbele Ya Wengineo Husababisha Maudhi Na Dhana Mbaya
- 105-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Atawatesa Watesao Watu Duniani
- 106-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Mwanamke Aliyeadhibiwa Kwa Ajili Ya Kumtesa Paka
- 107-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayeirejelea Hiba Yake Ni Kama Mbwa Anayerudia Matapishi Yake
- 108-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Madhambi Saba Yanayoangamiza
- 109-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Amelaaniwa Mla Ribaa, Mwakilishi Shahidi, Na Mwandishi Wake
- 110-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayejionyesha Kwa Watu (Riyaa) Allaah Atamfedhehesha Siku Ya Qiyaamah
- 111-Lu-ulu-un-Manthuwrun : Wanaume Na Wanawake Wasio Maharimu Wasitazamane Uchi Wala Wasilale Pamoja
- 112-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Ikhtilaatw - Wanawake Kuchanganyika Na Wasio Mahaarim
- 113-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wamelaaniwa Wanaume Wanaojifananisha Na Wanawake Na Wanawake Wanaojifananisha Na Wanaume
- 114-Lu-ulu-un-Manthuwrun :Wanawake Wanaovaa Nguo Lakini Wako Uchi Wenye Vichwa Vya Manundu Hawatoingia Jannah Wala Hawatasikia Harufu Yake
- 115-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo Ya Kunyoa Baadhi Ya Nywele Na Kuacha Baadhi
- 116-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Wamelaaniwa Wanaopiga Chale (Tattoo), Wanaochonga Nyusi Na Meno
- 117-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kusema Analolijua Mtu Au Kukiri Kutokuwa Na Ujuzi Wa Jambo Na Kujikalifisha Nalo
- 118-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutokuomboleza Kwa Kupiga Mashavu, Kupasua Mifuko Na Kuomba Maombi Ya Kijahilia
- 119-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayemwendea Mtazamaji Ramli Akamsadiki Hatokubaliwa Swalaah Siku Arubaini
- 120-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Malaika Hawaingii Nyumba Yenye Mbwa Au Picha Za Viumbe
- 121-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Misikiti Si Ya Kuchafuliwa Bali Ni Ya Kumdhukuru Allaah
- 122-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haifai Kupandisha Sauti Za Mazungumzo Misikitini
- 123-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayekwenda Kuswali Asile Kitunguu Au Kitunguu Thomu
- 124-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Anayeapa Kwa Asiyekuwa Allaah Amekufuru
- 125-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Miongoni Mwa Madhambi Makubwa Ni Kumshirikisha Allaah, Kuwaasi Wazazi, Kuua Mtu, Kuapa Uongo
- 126-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Muumin Si Anayekashifu Watu, Au Kulaani, Kunena Machafu Au Mwenye Ufidhuli
- 127-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Watakaokuwa Karibu Na Watakaokuwa Mbali Kabisa Na Nabiy Siku Ya Qiyaamah
- 128-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Amelaaniwa Mke Anayemkatalia Mumewe Kujimai Bila Ya Sababu
- 129-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haifai Kutia Chokaa Makaburi Au Kujengea Au Kukalia
- 130-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Analaaniwa Anayefanya Haja Njia Wapitazo Watu Au Kivulini
- 131-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Allaah Ameridhia Kuabudiwa, Kutokumshirikisha, Kuungana Na Anachukia Uvumi, Udadisi Na Kupoteza Mali
- 132-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Amelaaniwa Anayemwelekeza Nduguye Silaha
- 133-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo Ya Kuvaa Hariri, Diybaaj (Hariri Iliyotariziwa) Na Kunywa Katika Vyombo Vya Dhahabu Na Fedha
- 134-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo Ya Kujishabihisha Na Makafiri
- 135-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Makatazo Ya Kustanji Na Kugusa Uchi Kwa Mkono Wa Kulia
- 136-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kutabiri Ya Ghayb Kwa Kupiga Fali (Rajua Mbaya) Kutokana Na Tukio Fulani Ni Shirki
- 137-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Viumbe Waovu Kabisa Wajengao Misikiti Katika Makaburi Ya Waja Wema Wakachora Picha Zao
- 138-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Haramisho La Kuomboleza Zaidi Ya Siku Tatu
- 139-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Kujiepusha Na Aliyoyaharamisha Allaah
- 140-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Hitimisho: Mfano Wa Mti Mzuri (Mtende) Na Muumin